Blogspot - fharush.blogspot.com - fharush.blogspot.com

Latest News:

Luqman mwenye Hekima 4 Jul 2012 | 05:30 am

Luqman mwenye Hekima Siku moja mfalme wa Luqman mwenye hekima "Luqman al Hakiym" alichinja mbuzi wawili na kumtaka Luqman achaguwe kutoka katika mbuzi wawili hao vipande viwili vibaya kupita vyote n....

Hakika Halali Iko Wazi Na Haramu Iko Wazi 4 Jul 2012 | 05:13 am

 Hakika Halali Iko Wazi Na Haramu Iko Wazi الحديث السادس “إن الحلال بين وإن الحرام بين” عَنْ أبي عَبْدِ اللهِ النُّعْمَانِ بْنِ بَشِيرٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُما قَالَ : سمعتُ رَسُولَ اللهِ صلى الله عل...

Ubaya wa hasada katika Jamii 29 Jun 2012 | 10:04 am

Ubaya wa hasada katika Jamii Hasada inapotawala katika jamii yoyote kwanza jamii hiyo itambue kuwa ishafikiwa na msiba mkubwa sana usiokuwa na mithali na athari za jamii hiyo itasibiwa na matat...

VUNJA JUNGU 25 Jun 2012 | 05:48 pm

VUNJA JUNGU Assalaamu Alaykum Warahmatullah! Ni baada ya siku chache tu kwa msaada wake Allah Karim utakuwa unapumua na kuishi ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwezi ambao huwapa waislamu fursa ...

Shukrani zote ni zake Mwenyezi Mungu 22 Jun 2012 | 05:51 am

Shukrani zote ni zake Mwenyezi Mungu Mola wa viumbe vyote. Tunamshukuru, tunamtegemea na tunajilinda kwake kutokana na shari za nafsi zetu na amali zetu zilizo ovu. Atakayeongozwa na Mwenyezi Mungu ha...

Shukrani zote ni zake Mwenyezi Mungu 22 Jun 2012 | 05:51 am

Shukrani zote ni zake Mwenyezi Mungu Mola wa viumbe vyote. Tunamshukuru, tunamtegemea na tunajilinda kwake kutokana na shari za nafsi zetu na amali zetu zilizo ovu. Atakayeongozwa na Mwenyezi Mungu ha...

Anasema Ibni Abbas (Radhiya Llahu anhuma): 22 Jun 2012 | 05:33 am

Anasema Ibni Abbas (Radhiya Llahu anhuma): "Ewe mwenye kufanya dhambi usiaminishe kwamba hutolipwa kwa madhambi yako, na kwamba hutoyaona matokeo ya ubaya wa dhambi. Na kule kuifuatilia kwako hiyo d....

RAMADHANI NI MWEZI WA QURANI 22 Jun 2012 | 05:31 am

RAMADHANI NI MWEZI WA QURANI Suleyman Mohammad Said. Mwezi  wa Ramadhani ni mwezi bora kuliko miezi yote, na moja kati ya sababu ya ubora wake ni kule kuteremshwa katika mwezi huu Qurani tu...

FUNGA/ SAUMU 22 Jun 2012 | 05:29 am

FUNGA/ SAUMU Na Hamzah Z. Rijaal Wengi wetu wanajiuliza kawanini tunafunga? Wengine hufika hadi ya kusema kuwa kama itawezekana kutoa fidia yupo tayari kufanya hivyo, kwani kufunga ni kazi kubwa. Fu...

Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swallah Llahu alayhi wa sallam) aliyetujulisha juu ya kuridhika na Sahibu zake na kuwabashiria Pepo aliposema: 22 Jun 2012 | 05:27 am

Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swallah Llahu alayhi wa sallam) aliyetujulisha juu ya kuridhika na Sahibu zake na kuwabashiria Pepo aliposema: "Abubakar (yumo) Peponi, na Umar (yumo) Peponi na Uthmaan (yumo...

Recently parsed news:

Recent searches: