Blogspot - mrokim.blogspot.com - Father Kidevu

Latest News:

WANAHABARI KUKUTANA NA REDD'S MISS TANZANIA 2013 KESHO 27 Aug 2013 | 09:01 pm

 WAREMBO 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2013, leo wanatarajiwa kukutana rasmi na waandishi wa habari, ili kila mmoja kutoa mtazamo wake shughuli itakayofanyika katika hoteli ya Giraffe ili...

KAMPUNI YA CHLORIDE EXIDE YASAIDIA KITENGO CHA EMERGENCY CHA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI 27 Aug 2013 | 08:11 pm

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakikabidhi Betri za kampuni hiyo kwa  Mkuu wa Kitengo ch...

VIFAA VYA LIGI KUU KUKABIDHIWA LEO 27 Aug 2013 | 08:08 pm

MDHAMINI Mkuu wa Ligi Kuu ya Zanzibar, Kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt, maarufu kama ‘Grand Malt Premier League’ leo wanatarajia kukabidhi vifaa kwa timu shiriki za ligi hiyo katika hafla it...

NEC YA CCM YAMALIZA MGOGORO WA MADIWANI BUKOBA 27 Aug 2013 | 08:06 pm

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi  wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi wa kamati kuu wa kubatilisha kufukuzwa kwa madiwani wa Bukoba nje ya ukumbi wa NEC. **** TAARIF...

KUTOKA TFF HII LEO 27 Aug 2013 | 08:01 pm

MAANDALIZI MKUTANO WA UCHAGUZI TFF Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaendelea na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi utakaofanyika Oktoba 26 na 27 mwaka huu jijini Dar ...

BUNGENI MJINI DODOMA LEO 27 Aug 2013 | 07:09 pm

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka bungeni mjini Dodoma leo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu....

BONDIA WA DUNIA FRANCOIS BOTHA ATUA JIJINI DAR 27 Aug 2013 | 07:04 pm

Bondia wa Dunia wa uzito wa juu  Francois Botha akionyesha jinsi ya kupambana kulia ni Yasini Abdalla Rais wa Shirikisho la ndondi nchini ,kushoto ni mdau wa ndondi , uwanja wa ndege wa Kimataifa wa J...

SAMAKI SAMAKI YATEKETEA KWA MOTO WAKATI WA UBOMOAJI 27 Aug 2013 | 06:59 pm

Hivi ndivyo ilivyo sasa Bar maarufu ya SAMAKI SAMAKI iliyokuwa ikivuma sana jijini Dar es Salaam. Bar hii iliyokuwa maeneo ya Mbezi Beach jijini imefikwa na janga la moto hii leo majira ya saa 3:15 as...

LB DRESSES MISS JAMAICA UNIVERSE CHANTAL ZAKY AT ATLANTA FASHION NIGHT OUT ON SUNDAY AUG 25th 2013 27 Aug 2013 | 11:29 am

WE ARE VERY HAPPY AND FORTUNATE TO DRESS MISS JAMAICA UNIVERSE 2012 CHANTAL ZAKY FOR THE ATLANTA FASHION NIGHT OUT ON AUG 25th 2013. CHANTAL WAS ONE OF THE HOSTS FOR THE NIGHT. The Boss of LB Apparel...

REDD'S MISS TEMEKE ATOA MSAADA WA VITABU VYA SH. 300,000 SHULE YA MSINGI GULUKA KWALALA,UKONGA,DAR 26 Aug 2013 | 11:38 pm

Malkia wa Redd's Miss Ilala 2013, Doris Mollel akiwa na wanafunzi baada ya kukabidhi msaada wa vitabu  30 vyenye thamani ya sh. 300,000 kwa Shule ya msingi Guluka Kwalala, Jimbo la Ukonga, Dar es Sala...

Recently parsed news:

Recent searches: