Blogspot - othmanmichuzi.blogspot.com - MTAA KWA MTAA BLOG

Latest News:

NSSF YAWAAGA WAJUMBE WA BODI NA KUWAKARIBISHA WAPYA 27 Aug 2013 | 03:59 pm

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limewapongeza Wajumbe wa Bodi ya shirika hilo waliomaliza muda wake, kwa utendaji bora uliotukuka licha ya changamoto kubwa walizokabiliana nazo katika kip...

Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 kukutana na Wanahabari 27 Aug 2013 | 03:29 pm

 Na Mwandishi Wetu WAREMBO 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2013, kesho wanatarajiwa kukutana rasmi na waandishi wa habari, ili kila mmoja kutoa mtazamo wake,shughuli itakavyofanyika katik....

Untitled 27 Aug 2013 | 03:21 pm

Airtel yagawa vitabu kwa shule ya sekondari ya Bwelanyake Karagwe 27 Aug 2013 | 03:01 pm

Airtel Tanzania imeendelea na mradi wake wa kusambaza vitabu katika shule ya Sekondari nchini chini ya mradi wa ‘Shule yetu’ ambapo shule mbalimbali za sekondari nchini zimenufaika na mradi. Akizungu...

KAMPUNI YA CHLORIDE EXIDE YASAIDIA KITENGO CHA EMERGENCY CHA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI 27 Aug 2013 | 02:59 pm

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo (kulia) na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakikabidhi Betri za kampuni hiyo kwa  Mkuu wa Kitengo ...

NATHAN MPANGALA, MARAFIKI WA WAFANYE WATABASAMU WACHORA PAMOJA NA WATOTO HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI 27 Aug 2013 | 02:30 pm

Mratibu wa mradi wa kujitolea wa Wafanye Watabasamu, Katunisti Nathan Mpangala ‘Mtukwao’, akishea jambo na mmoja wa malaika Hospitali ya Taifa Muhimbili, upande wa saratani, Jumammosi iliyopita. Mmoj...

MTANZANIA DJ JO ANAYEFANYA VITU VYAKE VIKALI DMV 27 Aug 2013 | 04:35 am

Dj Jo akifanya vitu vyake katika ukumbi wa Karma Lounge ambao hupiga muziki kila Ijumaa anawakaribisha wadau wote wa DMV kwenda kwenye kiota hicho cha maraha na kupunguza stress kila Ijumaa. DJ Jo ...

Untitled 27 Aug 2013 | 04:11 am

Related Keywords:

michuzi, michuzi blog, mtaa kwa mtaa, weza studio the tu, nyumba poa limited, "cp.radiostreamhost.com", bungeni leo, irenesimba, wai ji wah zatse, issa michuzi jr

Recently parsed news:

Recent searches: