Globalpublishers - globalpublishers.info - Featured News Posts - Global Publishers

Latest News:

WAHUSIKA GHOROFA LILILOPOROMOKA DAR WAPANDISHWA KIZIMBANI 3 Apr 2013 | 10:34 pm

Mkandarasi Raza Hassan Raza akiinama tayari kusujudu baada ya kufikishwa mahakamani. MKANDARASI wa jengo la ghorofa 16 lililoporomoka Ijumaa iliyopita na kuua watu kadhaa…

Kid Cudi Asepa G.O.O.D Music [Kanye's Label] 3 Apr 2013 | 03:54 pm

Rapper kutoka America, Kid Cudi ambae lately amekuwa chini ya label ya Kanye West, G.O.O.D Music ameiacha label hiyo .Cudi from Cleveland amefanya baadhi ya interview hivi karibuni na kusema hayupo te...

SHILOLE ABANWA KUHUSU KUTONGOZA VIJANA WADOGO, 1 Apr 2013 | 08:30 am

Wiki iliyopita katika safu hii tulimtambulisha kwenu msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, kama kawaida maswali mengi yaliulizwa kama ifuatavyo: KWELI ALIOLEWA? Eti ni kweli uli...

VIDEO YA KAULI YA UHURU KENYATTA BAADA YA MAHAKAMA KUTOA MAAMUZI 31 Mar 2013 | 04:54 am

Pamoja na mambo mengine, Uhuru Kenyatta amesema yuko tayari kuungana kufanya kazi kwa maendeleo ya nchi na Wakenya wengine akiwemo Raila Odinga ambae mwanzoni alipinga matokeo ya Urais lakini march 30...

MLEMAVU AMWANGUKIA WEMA SEPETU 30 Mar 2013 | 11:30 am

MPIGAPICHA wa kujitegemea ambaye ni mlemavu wa miguu wa mjini hapa, Elias Ngole Ngoswe amemwangukia msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu kwa kumuomba msaada ili aweze kutibiwa katika Hospitali ya Taifa...

Bob Junior Kuitikisa Denmark, Norway & Swizland 29 Mar 2013 | 02:30 pm

Rais wa Masharobaro wote Duniani Bob Junior…

DIVA: AJUTA TENA KUMPA PENZI MO RACKA 29 Mar 2013 | 01:37 pm

Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Radio, Loveness Malinzi ‘ Diva’ juzikati amefunguka kuwa, kosa kubwa alilowahi kulifanya kwenye maisha yake ni kummegea penzi mwanamuziki anayefahamika...

JENGO LA GHOROFA 16 JIJINI DAR LAANGUKA, WATU TAKRIBANI 60,WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA 29 Mar 2013 | 12:35 pm

Taarifa zilizotufikia ni kwamba jengo lenye ghorofa 16 lililokuwa bado linaendelea kujengwa katika makutano ya barabara ya Indira Gandhi na Morogoro jirani na Burhani limeanguka. Inasemekana katika je...

SKYLIGHT ENTERTAINMENT NDANI YA PASAKA - MWANZA ( SKYLIGHT BAND & SKYLIGHT PARTY 29 Mar 2013 | 08:32 am

SKYLIGHT ENTERTAINMENT presents .................... SKYLIGHT PARTIES (30/03/2013) ............... Kwenye mkesha wa pasaka (30/03/2013) Njoo ujiachie na Ma Dj's…

RIPOTI KUHUSU MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU TANZANIA. 28 Mar 2013 | 07:16 pm

Serikali imesema kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi Tanzania imepungua kwa asilimia 5.1 huku Wanawake wakiwa hatarini zaidi kupata maambukizi hayo kwa kuwa na asilimia 6.2 ikilinganishwa na Wanau...

Recently parsed news:

Recent searches: