U-turn - u-turn.co.tz - U-turn Blog

Latest News:

NYOKA ATOKA KWENYE NYETI ZA MWANAMKE HUKO GHANA..... 26 Aug 2013 | 12:00 pm

Iron Lady weka hii kwa blog wadau waone vioja vya dunia. Huyu mama ni kwamba aliumwa ghafla akapelekwa hospitali na familia yake baada ya kufika hospitali hali ikazidi kuwa mbaya ndo akaomba mapasto...

OMG, WHO ELSE THINKS MILEY CYRUS'S PERFORMANCE @ THE VMA'S WAS INAPPROPIATE? 26 Aug 2013 | 11:43 am

OK, so my daughter loves Miley mnoooo,, So tonight nilikuwa  naangalia VMAS sasa Miley alivyopanda kwa stage si nikamwita mwanangu aje kumwona uwiiiiiiiiii mbona nilijutaaaaaaa, mamaaaa, hiki kitot...

PREGGO DIARIES: SEVERE SPITTING....... 26 Aug 2013 | 05:47 am

Uwiii domo kubwa ka chai jaba...lol... This is how my lips look right now.... Zimekatika ,zinaniuma balaaaa sababu ya dehydration hubby says....lol...My doc said ninywe as much maji as mate nayotema...

SPANKING NEW: JOKATE AND LUCCI - KAKA DADA..... 24 Aug 2013 | 10:22 am

Kudadeki pale jamaa alivyombeba on the kitchen counter.....hawt!!!!!! Alafu kwa nini wanapenda ku discourage wasanii wa kibongo eti wasiimbe in english??? Hivi kuna show zinazouza bongo kama waki...

KANYE WEST ON KRIS JENNER SHOW......BABY NORTH'S FIRST PIC Y'ALL..... 24 Aug 2013 | 07:05 am

Me wameniboa kutouza picha za mtoto wao for millions of dollars, yes they dont need they money and maybe dont want to use theyir daughter kihivyo but there are sooooooooooooooooo many people in the ...

JOKATE AINGIA KWENYE BONGO FLAVA.... 23 Aug 2013 | 05:40 am

Im sure mpaka sasa utakuwa umeona hizi poster kwenye mablog na instagram, zikimuonyesha Jokate na produza Lucci.... Wengi wetu tulikuwa hatuelewi nini. Oh well, ni kwamba bidada ameingia kwenye f...

HOLLYWOOD FRESH 2013.......REALLY FRESHHHHHHHHHHHHH...... 23 Aug 2013 | 04:34 am

The host Amani Patric Cheyo & friends..... In love with the African print outfit the lady on the left is wearing... Mndewa Tenga and friends.... Jackie Cliff a.ka Jackie Beach babe....

THROWBACK THURSDAY..... THE BIRTH OF KENZO IN DUBAI.... 22 Aug 2013 | 10:33 pm

Less than 24 after he was born we left he hospital coz he was soo perrrrrrrrfect....... aaawwww... Hapo nilikuwa labor tayari alafu busy nachat..... I love epidurals aiseee... To me child birth lab...

KENZO'S BIRTHDAY IS COMING UP....... 22 Aug 2013 | 06:38 am

This video made me cry today.... Anyways siku hizi kitu kidogo tu kinaniliza, im too emotional....lol... Yani leo nilikuwa nawaza tumafanyie nini Kenzo for his birthday so nikaanza kuangalia pics and...

NAOMBA USHAURI 21 Aug 2013 | 07:08 am

Habari yako Mange na wasomaji wote wa U-Turn?Mama Kenzo naomba unipostie hii ila usiweke jina langu na email yangu ifiche tafadhali. Mimi ni mwanamke niliyeolewa kwa miaka takribani 11 sasa,nashukuru ...

Recently parsed news:

Recent searches: