Wavuti - wavuti.com - wavuti.com - News blog

Latest News:

Mazungumzo ya DW na Mansoor Himid, Kiongozi aliyevuliwa uanachama CCM 27 Aug 2013 | 04:08 pm

Mansoor Yussuf Himid Idhaa ya Kiswahili ya radio ya Ujerumani, leo hii katika kipindi chake cha mchana (saa za Afrika Mashariki) imetangaza mahojiano mafupi ambayo yalifanywa na mtangazaji wa redio h...

Jengo la “Samaki Samaki” Mbezi laungua moto 27 Aug 2013 | 03:21 pm

Taarifa zilizopatika muda mfupi uiopita inapasha kuwa kiota cha starehe cha Samaki Samaki tawi la Africana huko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam kimeteketea kwa moto ambao chanzo chake halisi hakijaju...

Orodha ya Nzowa ya waliokamatwa na dawa za kulevya 2009 - 2013 27 Aug 2013 | 01:53 pm

Kamanda wa Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa amenukuliwa kutoa orodha ya waliokamatwa wakisafirisha dawa za kulevya kutoka mwaka 2009 hadi Mei, 2013. “Tumewakamata ‘...

Tanzanian caught with Dhs3 million of drugs in Dubai blames husband 27 Aug 2013 | 01:38 pm

Photo of a woman caught with Dhs3 million of drugs (photo: Yahoo! News) A cross-post from Yahoo! News — A woman caught with Dhs3 million of drugs in her suitcase claims she was unwittingly being used...

EAC Sec. Gen. hopes rhetorics between members won’t harm Community 27 Aug 2013 | 01:30 pm

English.news.cn, ARUSHA, Tanzania, Aug. 26 (Xinhua) -- Secretary General of the East African Community (EAC) Richard Sezibera on Monday allayed fears about rhetorics between Tanzania and Rwanda over R...

Usikose “Wanawake Live” kila Jumanne saa 3 usiku @ EATV 27 Aug 2013 | 01:02 pm

Msimu mpya wa tatu umeanza rasmi tarehe 20 August 2013, saa tatu kamili katika kituo cha  EATV. Make up, staili ya nywele: Maznat Mikocheni Gauni: Beauty Point May Fair Nywele yenyewe: Rose Brazilian...

EAC expresses concern over Tanzania-Rwanda tension 27 Aug 2013 | 12:39 pm

The East African Community (EAC) admitted Monday that the stand off between Tanzania and Rwanda is a setback to regional integration efforts. The secretary general Dr Richard Sezibera insisted the st...

Mmoja wa wanaume waliomwoa mke mmoja atoroka + Katuni ya Gado 27 Aug 2013 | 12:38 pm

Imeandikwa na  WINNIE ATIENO, Kenya — MMOJA wa wanaume waliotia saini mkataba kuishi na mwanamke mmoja alitoroka Jumatatu akisema maisha yake yamo hatarini. Bw Sylvester Mwendwa, mwenye umri wa miaka...

[audio] Taarifa ya habari + ATCL yapata mwekezaji mpya kutoka Oman 26 Aug 2013 | 10:25 pm

Kampuni ya Ndege ya Taifa, ATCL, pamoja na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, limepata mwekezaji mpya kutoka nchini Oman ambaye atawekeza katika sehemu mbalimbali ikiwemo kujenga jengo jipya la ATCL, kulet...

Grace Mbowe dada wa Freeman Mbowe ajiunga CCM, awapa kadi ya CHADEMA 26 Aug 2013 | 10:02 pm

L-R: Grace Mbowe, Hassan Mtenga DADA wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Mbowe, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea CHADEMA, kwa kile alichodai haoni jambo...

Recently parsed news:

Recent searches: